Mfahamu msanii Ally B kutoka Pwani aliyefariki

Msanii huyo alifariki ghafla baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Muhtasari

• Kulingana na taratibu za Kiislamu, msanii huyo atazikwa baadae Novemba 2 katika maziara ya Abbas Dola, Kisauni.

Mfahamu msanii Ally B
Mfahamu msanii Ally B
Image: HILLARY BETT