Tazama mambo mazito ambayo Akothee alikiri kuhusu ndoa yake iliyovunjika

Akothee alifichua aligura ndoa yake wakati wa fungate baada ya kujua mambo ambayo hakujua hapo awali.

Muhtasari

•Akothee alithibitisha kwamba aligura ndoa yake ya muda mfupi mnamo mwezi Juni wakati yeye na Omosh walipokuwa kwenye fungate.

•Akothee aliweka wazi kuwa kwa sasa yuko single akibainisha kuwa hakuna wakati hata ataruhusu mwanaume kumuathiri kisaikolojia.

Akothee alikiri kuhusu ndoa yake
Mambo Akothee alikiri kuhusu ndoa yake
Image: ROSA MUMANYI