Mfahamu gwiji wa Rhumba Koffi Olomide kwa undani

Antoine Christophe Agbepa Mumba ambalo ndilo jina lake rasmi ana umri wa miaka 67.

Muhtasari

• Koffi atatumbuza mashabiki wake Desemba 9, 2023.
• Hafla hiyo imeandaliwa na Radio Africa.
• Itafanyika katika uwanja wa maonyesho wa Nairobi.

Image: HILLARY BETT