Pata kumfahamu kwa undani msanii Christina Shusho

Bi Shusho amepangiwa kutumbuiza Kenya Disemba 31, 2023 kufuatia maombi mengi ya mashabiki.

Muhtasari

•Christina Shusho ambaye ni mama wa watoto watatu alikutana na mume, Pastor John Shusho baada ya kumaliza masomo ya shule ya upili.

kwa undani msanii Christina Shusho
Mfahamu kwa undani msanii Christina Shusho
Image: ROSA MUMANYI