Jamhuri Dei: Nyimbo za kizalendo zinazoibua kumbukumbu za mapambano ya uhuru

Desemba 12, Kenya inasherehekea kujinyakulia uhuru na kuwa jamhuri ramsi, ikiwa ni miaka 60 sasa.

Muhtasari

• Wasanii wengi wa Kenya kwa miaka mingi wameonesha fahari yao ya kuwa Wakenya na kutunga tungo za kizalendo zinazosimulia mapambano ya uhuru wa taifa lao.

Nyimbo za kizalendo za Jamhuri Dei.
Nyimbo za kizalendo za Jamhuri Dei.
Image: WILLIAM WANYOIKE