Tazama mada za michezo zilizovuma zaidi Kenya, 2023

Google ilitoa ripoti kuhusu mada katika kategoria mbalimbali zilizovuma zaidi mwaka wa 2023

Muhtasari

•Kombe la Dunia la Raga, Al Nassr na Jedwali la EPL 2023/24 ni miongoni mwa mada zilizotafutwa zaidi kwenye Google.

za michezo zilizovuma zaidi Kenya mwaka wa 2023.
Mada za michezo zilizovuma zaidi Kenya mwaka wa 2023.
Image: WILLIAM WANYOIKE