Wafahamu ndugu maarufu wanaocheza soka katika vilabu vikubwa Ulaya

Mdogo wa staa wa Real Madrid, Jude Bellingham, Jobe Bellingham anachezea klabu ya Sunderland.

Muhtasari

•Alexis Mac Allister na kaka yake Kevin Mac Allister walicheza dhidi ya kila mmoja kwenye mechi ya Liverpool dhidi ya Royale Union SG Alhamisi jioni.

•Kylian Mbappe na ndugu yake mdogo Ethan Mbappe wanachezea klabu ya PSG nchini Ufaransa.

wanaocheza soka katika vilabu vikubwa Ulaya.
Ndugu wanaocheza soka katika vilabu vikubwa Ulaya.
Image: WILLIAM WANYOIKE