Wasanii wa miziki ya kidunia waliobadilika na kumgeukia Mungu

Huku wengi wakichukuliwa na wimbi la kuasi injili na kufuata umaarufu na pesa kwenye sekula, hawa walienda kinyume na dhana hiyo.

Muhtasari

• Wasanii hawa walikuwa majina makubwa kwenye miziki ya kidunia ila hilo halikuwazuia kumtafuta ama kumrudia Mungu.

• Waliamua kuasi miziki ya kidunia na kwa sasa ni watumishi wakali wa Mungu na injili yake.

Wasanii wa sekula waliomrudia Mungu
Radio Jambo Grafiki Wasanii wa sekula waliomrudia Mungu
Image: Hillary Bett