Tazama ufichuzi wa kutisha kuhusu mauaji ya kikatili ya mwanamke katika TRM Drive

Raia wa Nigeria anayeaminika kutekeleza unyama huo anashikiliwa na polisi baada ya kukamatwa Jumanne jioni.

Muhtasari

•Jumapili asubuhi, mwanamke kijana alipatikana ameuawa, sehemu za mwili zimekatwakatwa katika TRM DRIVE, Roysambu.

•Mshukiwa anaripotiwa kutumia msumeno kuukatakata mwili wa mwanadada huyo na baadaye akaenda na kichwa chake.

ya kutisha kuhusu mauaji ya mwanamke TRM DRIVE
Maelezo ya kutisha kuhusu mauaji ya mwanamke TRM DRIVE
Image: WILLIAM WANYOIKE