Wakenya mashuhuri walioomba wapenzi wao msamaha hadharani

Baadhi ya mastaa wa Kenya wameomba msamaha hadharani kwa wapenzi wao baada ya kufanya makosa.

Muhtasari

•Mr Seed ndiye staa wa hivi punde zaidi kuomba msamaha hadharani kwa mkewe Nimmo, hatua aliyoichukua kufuatia matamshi ya kutatanisha aliyotoa.

mashuhuri walioomba wapenzi wao msamaha hadharani.
Wakenya mashuhuri walioomba wapenzi wao msamaha hadharani.
Image: ROSA MUMANYI