Tazama Nyimbo za Kisiasa zilizoibua utata mkubwa nchini Kenya

Wimbo mpya wa Nay wa Mitego ‘Wapi Huko’ umezua mjadala mkubwa nchini huku Wakenya wengi wakihisi anaimba kuhusu matatizo ya Kenya.

Muhtasari

•Juliani, King Kaka, Sauti Sol, Eric Wainaina ni miongoni mwa wasanii waliowahi kutengeneza nyimbo za kisiasa zilizozua mjadala mkubwa Kenya.

za kisiasa zilizoibua utata nchini Kenya.
Nyimbo za kisiasa zilizoibua utata nchini Kenya.
Image: HILLARY BETT