Wafahamu Wakenya mashuhuri walio na zaidi ya mke mmoja

Wanasiasa kadhaa wa Kenya, wamekiri waziwazi kuwa na, au kujitokeza hadharani na zaidi ya mke mmoja.

Muhtasari

• Siku chache zilizopita, seneta wa kaunti ya Kakamega Boni Khalwale alikiri kuwa na wake wanne na watoto kumi na saba.

mashuhuri walio na zaidi ya mke mmoja
Wakenya mashuhuri walio na zaidi ya mke mmoja
Image: WILLIAM WANYOIKE