Ukweli kuhusu uhusiano uliovunjika wa Mungai Eve na Director Trevor

Wawili hao walitengana rasmi Februari mwaka jana lakini waliendelea kufanya kazi pamoja hadi mwaka huu.

Muhtasari

•Wawili hao walikutana kwa mara ya kwanza mwaka wa 2018 ila wakati huo Mungai Eve alikuwa kwenye mahusiano mengine.

kuhusu uhusiano wa Mungai Eve na Director Trevor
Ukweli kuhusu uhusiano wa Mungai Eve na Director Trevor
Image: WILLIAM WANYOIKE