Je, wafahamu kweli majukumu ya mwenyekiti wa tume Muungano wa Afrika

Kiongozi wa upinzani Raila Odinga ametangaza nia ya kuogombea wadhifa wa mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika .

Muhtasari

• Huchukua hatua zinazolenga kukuza Umoja wa Afrika

• Huwasilisha ripoti za ufanisi kwa Bunge na Halmashauri Kuu.

• Hutayarisha bajeti ya AU na hati za mipango ya AU.

Image: WILLIAM WANYOIKE