Tazama maelezo ya nyumba ya marehemu Kelvin Kiptum iliyojengwa kwa siku 6

Nyumba hiyo ya byumba vitatu vya kulala imejengwa katika eneo la Naiberi, kaunti ya Uasin Gishu.

Muhtasari

•Nyumba hiyo ilijengwa kwa siku sita baada ya rais William Ruto kutoa agizo kufuatia kifo cha mwanariadha Kelvin Kiptum.

ya nyumba ya marehemu Kiptum.
Maelezo ya nyumba ya marehemu Kiptum.
Image: WILLIAM WANYOIKE