Kando na Pogba, fahamu wanasoka wengine waliopigwa marufuku kwa matumizi ya muku

Kocha wa sasa wa Manchester City Pep Guardiola ni miongoni mwa waliopigwa marufuku enzi akiwa mchezaji. Guardiola alifungiwa nje kwa miezi 4 lakini marufuku ikaondolewa baadae.

Muhtasari

• Kipa wa Manchester United Andre Onana pia mwaka 2021 alifungiwa miezi 9 kwa matumizi ya dawa za kusisimua misuli.

Paul Pogba na marufuku yake si yeye wa kwanza
Paul Pogba na marufuku yake si yeye wa kwanza
Image: ROSA MUMANYI