Pata kumjua rais mpya wa LSK,Faith Odhiambo

Alisomea shahad ya sheria katika chuo kikuu cha kikatoliki (CUEA) mwaka wa 2004- 2008

Muhtasari
  • Babake ni mhadhiri katika chuo kikuu cha Maseno.
  • Ana umri wa miaka 38.
Rais wa LSK, Faith Odhiambo