Wasanii wa Kenya waliofanikiwa kuwashirikisha wanasiasa katika video za miziki yao

Wanasiasa kama rais Ruto, kinara wa ODM Raila Odinga, mbunge Babu Owino ni miongoni mwa wanasiasa waliovutwa kwenye video za wasanii wa humu nchini.

Muhtasari

• Stevo Simple Boy ni msanii wa hivi karibuni kumvuta Babu Owino kwenye kolabo mpya - Neno.

Baadhi ya wasanii wa Kenya walioshirikisha wanasiasa kwenye nyimbo
JAMBO INFO// Baadhi ya wasanii wa Kenya walioshirikisha wanasiasa kwenye nyimbo
Image: WILLIAM WANYOIKE