Tazama safari ya mapenzi ya Zari na Shakib, mapenzi na changamoto

Wanandoa hao kutoka Uganda walithibitisha kurudiana Jumatano baada ya matatizo ya ndoa.

Muhtasari

•Wawili hao walikutana mara ya kwanza mwaka wa 2019 kabla ya kuanza kuchumbiana mwaka wa 2022.

•Wawili hao walifunga pingu za maisha mwezi Oktoba 2023.

ya mapenzi ya Zari na Shakib
Safari ya mapenzi ya Zari na Shakib
Image: HILLARY BETT