Fahamu vilabu vya EPL ambavyo wanashabikia watangazaji wa Radio Jambo

Wengi wa watangazaji wa Radio Jambo wanaonekana kuwa na upendo usiofichika kwa Klabu ya Soka ya Arsenal.

Muhtasari

•Watangazaji Gidi, Massawe Japanni, Mbusii, Michael Indeku, Diblo Kaberia na Bramwell Mwololo wanashabikia klabu ya Arsenal.

•Jacob 'Ghost' Mulee, Diamond Okusimba na Alibaba wanashabikia Mashetani Wekundu.

vilabu vya epl ambavyo watangazaji wa Radio Jambo wanashabikia
Fahamu vilabu vya epl ambavyo watangazaji wa Radio Jambo wanashabikia
Image: HILLARY BETT