Jowie Irungu ni nani? Fahamu maelezo muhimu kuhusu aliyehukumiwa kifo kwa mauaji ya Monica Kimani

Mpenzi huyo wa zamani wa Jacue Maribe alihukumiwa kifo kwa kosa la mauaji ya mfanyibiashara Monica Kimani.

Muhtasari

•Mfungwa Jowie Irungu ambaye ana umri wa miaka 33 alizaliwa katika kaunti ya Nakuru na ana ndugu watatu.

Unachohitaji kujua kuhusu Jowie Irungu
Image: HILLARY BETT