Juhudi mpya za serikali kupiga vita pombe haramu

Serikali pia imependekeza kiwano cha chini cha vipimo vya pombe kuongezwa kutoa 250ml hadi 750ml.

Muhtasari

• Magari na majumba yatakayopatikana yametumika kuficha na kusafirisha pombe haramu yatataifishwa.

Hatua za serikali kupiga vita pombe haramu
Hatua za serikali kupiga vita pombe haramu