Fahamu faida za kiafya za kunywa maji

Dunia inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Maji hivi leo, Machi 22.

Muhtasari

•Maji yana manufaa mengi mwilini ikiwemo kuboresha utendakazi wa ubongo, kuondoa uchafu mwilini, usagaji wa chakula na udhibiti wa joto mwilini.

faida za maji mwilini.
Fahamu faida za maji mwilini.
Image: WILLIAM WANYOIKE