Tazama maelezo muhimu kuhusu mazishi ya mwanatiktok Brian Chira

Mwili wa kijana huyo wa miaka 23 umehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhi maiti cha Chuo Kikuu cha Kenyatta.

Muhtasari

•Mwanatiktok huyo atazikwa nyumbani alikotoka nyanyake baada ya ibada ya mazishi itakayofanyika Githunguri, Kiambu.

•Waombolezaji wataruhusiwa kutazama mwili katika mochari ya KU.

kuhusu mazishi ya Bria Chira
Maelezo kuhusu mazishi ya Bria Chira
Image: WILLIAM WANYOIKE