Tazama baadhi ya maeneo bunge ambayo DP Rigathi Gachagua anataka yagawanywe

DP amesema ameridhishwa na pendekezo la NADCO la kugawa maeneo bunge makubwa.

Muhtasari

•DP alilalamika kwamba kuna maeneo bunge mengi yenye watu wengi katika eneo la Kati, lakini yanapokea mgao sawa na mengine.

ya maeneo bunge ambayo naibu rais Rigathi Gachagua anataka yagawanywe
Baadhi ya maeneo bunge ambayo naibu rais Rigathi Gachagua anataka yagawanywe
Image: WILLIAM WANYOIKE