Washindi wa tuzo za TV na filamu za Kaasha awamu ya 13

Marehemu Charles Ouda, hata katika kifo chake bado alishinda tuzo ya muigizaji mkuu bora wa kiume katika drama ya runinga, kipindi cha Salem.

Washindi wa tuzo za Kalasha
Washindi wa tuzo za Kalasha
Image: WILLIAM WANYOIKE