Mamelodi Sundowns yaipiku El Ahly na kuwa klabu yenye thamani kubwa zaidi Afrika

Mamelodi Sundowns ilipanda kwa thamani na kufikisha shilingi za Kenya bilioni 4.69 baada ya mafanikio yao kwenye kipute cha African Football League.

Muhtasari

• El Ahly ya Misri iliporomoka kwa mara ya kwanza hadi nafasi ya pili wakiwa na thamani ya shilingi za Kenya bilioni 4.60.

Vilabu vya Afrika vyenye thamani zaidi
Vilabu vya Afrika vyenye thamani zaidi
Image: WILLIAM WANYOIKE