Wafahamu watu tajiri zaidi ulimwenguni mwaka wa 2024

Kwa mwaka wa pili mfululizo Arnault ndiye mtu tajiri zaidi duniani.

Muhtasari

•Katika orodha ya mwaka huu, iliyochapishwa Jumanne, kuna matajiri 14 wa klabu ya kipekee ambayo ni wale tu walio na thamani ya takribani tarakimu 12 huingia.

tajiri zaidi ulimwenguni mwaka wa 2024.
Watu tajiri zaidi ulimwenguni mwaka wa 2024.
Image: WILLIAM WANYOIKE