Tazama ratiba ya mahusiano ya wazazi watarajiwa, Marioo na Paula Kajala

Wapenzi hao walitangaza wanatarajia mtoto wao wa kwanza mnamo Aprili 11, 2024.

Muhtasari

•Mastaa hao wawili walianza kuchumbiana mapema mwaka jana, miezi kadhaa tu baada ya Paula kutengana na Rayvanny.

•Mwezi Septemba  mwaka jana, Paula alidai kwamba mpenzi wake tayari alikuwa amelipa mahari ya Tsh100m.

ya mahusiano ya Paula Kajala na Marioo
Ratiba ya mahusiano ya Paula Kajala na Marioo
Image: WILLIAM WANYOIKE