Tazama wanablogu wa Kenya waliofariki katika hali tatanishi katika miaka ya hivi majuzi

Mwanablogu Bogonko Bosire hajulikani aliko tangu mwaka wa 2013.

Muhtasari

•Wanablogu wawili wa Kenya tayari wamepatikana wakiwa wamefariki katika hali tatanishi mwaka wa 2024.

tatanishi vya Wanablogu Kenya
Vifo tatanishi vya Wanablogu Kenya
Image: HILLARY BETT