"Why between my interview??": Mfahamu msanii TID anayevuma baada ya mahojiano ya kuchekesha

Gwiji huyo wa bongo fleva amekuwa akitrend kwenye mitandao baada ya kufanya mahojiano ya kuchekesha kwa kiingereza.

Muhtasari

•Mwanamuziki wa bongofleva TID ambaye jina lake halisi ni Khalid Mohamed alizalwiwa jijini Dar es Salaam mwaka wa 1981.

•TID aliwahi kuhukumiwa kifungo cha mwaka mmoja mnamo 2008, alitumikia kifungo cha miezi minne jela kisha akaachiliwa.

msanii wa bongo Top in Dar (TID)
Mfahamu msanii wa bongo Top in Dar (TID)
Image: ROSA MUMANYI