Wafahamu maafisa wa jeshi waliofariki pamoja na Jenerali Francis Ogolla

Wanajeshi wawili ambao pia walikuwa kwenye ndege hiyo walinusurika lakini waliugua majeraha.

Muhtasari

•Maafisa 11 wa jeshi akiwemo Kamanda wa Majeshi ya Ulinzi Francis Ogolla walipoteza maisha katika ajali ya ndege iliyotokea Elgeyo Marakwet mnamo Aprili 18.

waliofariki pamoja na Jenerali Francis Ogolla.
Maafisa wa jeshi waliofariki pamoja na Jenerali Francis Ogolla.
Image: WILLIAM WANYOIKE
waliofariki pamoja na Jenerali Francis Ogolla.
Maafisa wa jeshi waliofariki pamoja na Jenerali Francis Ogolla.
Image: WILLIAM WANYOIKE