Madhara ya mafuriko nchini Kenya kufikia Alhamisi Mei 2

Kufikia sasa, familia 33,100 zimehamishwa kutokana na mafuriko huku watu 165,500 wakiathiriwa na kuharibiwa kwa makazi yao.