Fahamu sababu za kawaida za majengo kuporomoka

Jengo la ghorofa nne lenye wapangaji 34 liliporomoka katika mtaa wa Mountain View, Uthiru mnamo Jumanne usiku.

Muhtasari

•Msingi dhaifu, nyenzo za ujenzi kukosa nguvu za kutosha na makosa ya wajenzi ni baadhi ya sababu kuu za majengo kuporomoka.

za majengo kuporomoka.
Sababu za majengo kuporomoka.
Image: HILLARY BETT