Fahamu vilabu vya Ulaya vyenye uhasama wa juu wa mashabiki

Jumanne usiku, mashabiki wa Arsenal waliweka uadui kando kuisapoti Tottenham katika mechi yao dhidi ya Man City.

Muhtasari

•Uhasama uliwafanya mashabiki wa Tottenham kufurahia klabu yao kupoteza dhidi ya Man City mradi tu Arsenal isipate nafasi ya kushinda Ligi.

vya Ulaya vyenye uhasama wa juu wa mashabiki
Vilabu vya Ulaya vyenye uhasama wa juu wa mashabiki
Image: WILLIAM WANYOIKE