Kwa nini klabu ya Wolves inataka VAR itupiliwe mbali kabla ya msimu ujao wa EPL

Wolves wameandikia Ligi Kuu ya Uingereza wakiomba kura kuhusu kuondolewa kwa VAR.

Muhtasari

•Klabu hiyo imeibua malalamiko kadhaa dhidi ya VAR na kutaka ipigiwe kura ya kuipinga kabla ya kuanza kwa EPL 2024/25.

za timu ya Wolves kutaka VAR kuondolewa EPL.
Sababu za timu ya Wolves kutaka VAR kuondolewa EPL.
Image: WILLIAM WANYOIKE