Tazama wakweaji waliokufa/kutoweka kwenye Mlima Everest katika wiki 2 zilizopita

Mkenya, Cheruiyot Kirui alipatikana amekufa mnamo Mei 23 baada ya kutoweka akijaribu kupanda Mlima Everest bila oksejeni ya ziada.

Muhtasari

•Zaidi ya wakweaji milima saba wamefariki ama kutoweka wakijaribu kukwea Mlima Everest katika wiki mbili zilizopita.

waliokufa/kutoweka kwenye Mlima Everest wiki 2 zilizopita
Wakweaji waliokufa/kutoweka kwenye Mlima Everest wiki 2 zilizopita
Image: WILLIAM WANYOIKE