Fahamu kwa nini maiti huachwa kwenye Mlima Everest wakweaji wakifariki

Takriban miili 200 ya wakweaji waliofariki bado iko kwenye mlima huo mrefu zaidi duniani.

Muhtasari

•Wiki iliyopita, mwili wa mpanda milima wa Kenya Cheruiyot Kirui ulipatikana mita chache chini ya kilele cha Mlima Everest.

za miili kuachwa kwenye Mlima Everest.
Sababu za miili kuachwa kwenye Mlima Everest.
Image: WILLIAM WANYOIKE