Wachezaji ambao wameshinda mataji mengi ya Uefa Champions league

Wachezaji wengi kutoka Real Madrid wanaongoza idadi ya wachezaji ambao wameshinda mataji mengi ya UCL.

Muhtasari

•Wachezaji wengi wa Real Madrid wanatawala hasa baada ya miamba wa Uhispania kunyakua taji hilo mara 15.

Wachezaji ambao wameshinda mataji mengi ya UCL
Image: Hillary Bett