Tazama Wakenya mashuhuri ambao wamepoteza wapenzi wao 2024

Muigizaji mkongwe Mathias Keya almaarufu Makokha kwa sasa anamuomboleza mkewe Purity Wambui.

Muhtasari

•Muigizaji Makokha ameomba msaada wa kifedha ili kumzika kufanikisha mazishi ya heshima kwa mkewe na kulipa bili ya hospitali.

•Aliyekuwa mbunge wa Kipipiri, Amos Kimunya alimpoteza mke wake Lucy mwishoni mwa mwezi Januari.