Baadhi ya maeneo yaliyoharibiwa wakati wa maandamano ya Jumanne

Sehemu ya bunge ni moja wapo wa maeneo yaliyoaribiwa wakati wa maandamano

Muhtasari

•Nyumba ya mbunge wa Molo Kuria Kimani iliteketezwa pamoja na ofisi ya gavana wa Nairobi City hall hapa Nairobi.

Baadhi ya maeneo yaliyoharibiwa wakati wa maandamano