Mambo muhimu kutoka kwa hotuba ya rais Ruto Jumatano

Rais alitupilia mbali mswada wa fedha 2024 na kutangaza kupunguza bajeti kutoka trilioni 4.18T hadi 3.99.

Muhtasari

• Rais Ruto alikana madai ya kuwepo kwa mauaji ya kiholela tangu awe rais.

• Katika hotuba yake rais aliahidi kufanya mazungumzo na vijana.

• Serikali itaendeleza mpango wa kutafutia Wakenya ajira nje ya nchi.

Image: HILLARY BETT