Endometriosis: Pata kuelewa ugonjwa ambao marehemu Jahmby Koikai alipambana nao

Marehemu Jahmby alipambana na ugonjwa huo kwa takriban miongo miwili na alifanyiwa upasuaji mara 21.

Muhtasari

•Marehemu Jahmby Koikai alifariki katika Hospitali ya Nairobi siku ya Jumatatu usiku baada ya kupambana na Endometriosis kwa miongo miwili.

ugonjwa Jahmby Koikai alipambana nao.
Fahamu ugonjwa Jahmby Koikai alipambana nao.
Image: WILLIAM WANYOIKE