Fahamu jinsi ya kuomba mkopo wa Hustler Fund

Rais William Ruto alizindua hazina ya Hustler Fund siku ya Jumanne.

Muhtasari

• Unaweza kukopa shilingi 500 kama kiwango cha chini kabisa na 50000 kama kiwango cha juu kabisa.

•Fuata hatua hizi ili kuweza kupata mkopo huo

Jinsi ya kuomba mkopo wa Hustler Fund