Kando na Jimal, wafahamu mastaa wengine waliofanyiwa upandikizi wa nywele

Mfanyabiashara Jimal Rohosafi yupo nchini Uturuki kwa ajili ya sehemu ya pili ya upandikizi wa nywele.

Muhtasari

•Kupandikiza nywele nchini Uturuki kunahusisha kuondoa nywele kutoka kwa eneo la wafadhili na kupandikiza.

•Taratibu za kupandikiza nywele huwa na gharama ya takriban $4,500 (Sh 664,920).

waliofanyiwa upandikizi wa nywele.
Mastaa waliofanyiwa upandikizi wa nywele.
Image: ROSA MUMANYI