Kaunti ambapo kumekuwa na vitisho au majaribio ya kubandua gavana au manaibu wao

Gavana Eric Mutai wa kaunti ya Kericho sasa yuko matatani baada ya hoja ya kumbandua kuwasilishwa Septemba 24.

Muhtasari

•Magavana kadhaa ambao walichaguliwa Agosti 2022 wamenusurika kubanduliwa rasmi baada ya MCAs kufanya majaribio.

ambapo kumekuwa na vitisho/majaribio ya kubandua gavana au manaibu wao.
Kaunti ambapo kumekuwa na vitisho/majaribio ya kubandua gavana au manaibu wao.
Image: HILLARY BETT