Wafahamu wachezaji waliofunga hat-trick kwenye msimu EPL 2023/24

Wachezaji 11 wamefunga zaidi ya mabao 3 katika mechi moja msimu huu

Muhtasari

•Evan Ferguson wa Brighton, Son Heung-Min wa Tottenham na Erling Haaland wa Manchester City walifunga hat-trick mnamo siku moja.

waliofunga hat-trick
Baadhi ya wachezaji waliofunga hat-trick
Image: WILLIAM WANYOIKE

Wachezaji 11 wamefunga zaidi ya mabao 3 katika mechi moja msimu huu:

• Phil Foden, Man City- Februari 5, 2024

• Matheus Cunha, Wolves- Februari 4, 2024

• Elijah Adebayo, Luton- Januari 30, 2024

• Chris Wood, Nottingham- Desemba 26, 2023

• Dominic Solanke, Bournemouth- Desemba 23, 2023

• Nicolas Jackson, Chelsea- Novemba 6, 2023

• Eddie Nketiah, Arsenal- Oktoba 28, 2023

• Ollie Watkins, Aston Villa- Septemba 30, 2023

• Evan Ferguson, Brighton- Septemba 2, 2023

• Son Heung-Min, Tottenham- Septemba 2, 2023

• Erling Halaand, Man City- Septemba 2, 2023

HISANI: LIGI KUU YA UINGEREZA