Wafahamu watu waliochangia mafanikio ya Harmonize

Harmonize alianza kupata umaarufu baada ya kukutana na Diamond mwaka wa 2015.

Muhtasari

•Watu kadhaa wakiwemo Choppa Tz, mke wake wa zamani Sarah Michelloti, Jose wa Mipango, Jabulant na Kajala Masanja wamechangia katika kujenga Kondegang.

Image: HILLARY BETT

Staa wa Bongo Harmonize alianza kupata umaarufu baada ya kukutana na Diamond Platnumz na kusainiwa katika WCB Wasafi mwaka 2015.

Wawili hao hata hivyo walikosana na kukatiza uhusiano wao mwaka wa 2018 na baadaye Harmonize akaanzisha lebo yake ya Konde Music Worldwide. Watu kadhaa wakiwemo Choppa Tz, mke wake wa zamani Sarah Michelloti, Jose wa Mipango, Jabulant na Kajala Masanja wamechangia katika kujenga Kondegang.