Video - Rais wa Ukrain aapa kusalia mjini Kyiv

Muhtasari

• Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy ameapa kuwa atasalia mjini Kyiv wakati wanajeshi wake wakipambana na wavamizi wa Urusi.