Picha: Uharibifu kwenye magari ya kiongozi wa Azimio Raila Odinga baada ya maandamano

Kulingana na mshauri wa Raila, Makau Mutua, magari yake yalilengwa na maaafida.

Muhtasari

• Kina wa upinzani aliongoza msafara mkubwa magari katika maandamano jijini Nairobi. 

Mlinzi wa Raila akiwa ndani gari la Raila wakati wa maandamano, 20/3/2023.
Mlinzi wa Raila akiwa ndani gari la Raila wakati wa maandamano, 20/3/2023.
Image: MAKAUMUTUA/TWITTER
Kinara wa Azimio Raila Odinga akiwa na mshauri wake Makau Mutua ndani ya gari wakati wa maandamano 20/3/2023.
Kinara wa Azimio Raila Odinga akiwa na mshauri wake Makau Mutua ndani ya gari wakati wa maandamano 20/3/2023.
Image: MAKAUMUTUA/TWITTER
Dereva wa Raila akiwa kwenye msafara wa maandamano.
Dereva wa Raila akiwa kwenye msafara wa maandamano.
Image: HISANI
Gari lililokuwa na kipaza sauti, lilikuwa limegongwa mbele.
Gari lililokuwa na kipaza sauti, lilikuwa limegongwa mbele.
Image: HISANI
Image: HISANI
Gari la mwanawe Raila Odinga ambaye pia ni mbunge wa EAL Winnie Odinga aliyejiunga na wandamani 20/3/2022 pia hali ksazwa.
HISANI Gari la mwanawe Raila Odinga ambaye pia ni mbunge wa EAL Winnie Odinga aliyejiunga na wandamani 20/3/2022 pia hali ksazwa.